sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
Habari zenu nduguzanguni...!!
mi naomba nisaidiwe kitu kimoja tu kwenye hili game (ni PC version)..kila nikicheza ninapo quit na kusave then baadae tena nikija kuwasha tena nakuta resume haikubali mpaka nianze upya...(kwenye campaing mode) na hata zile status zangu za mwisho (game complition % na time spent) zinaonekana kabisa ila nikienda kwenye select mission hamna kitu wala kwenye resume haikubali(ile button ya resume inakuwa ipo disabled kama imefifia hivi you cant click on it)...tatizo ni nini kwa anayeweza nisaidia..