Ndugu wadau.......naomba kuelekezwa jinsi ya kuweka call info kwenye simu yangu.
Kuna baadhi ya watu nimekua nikiwapigia simu....then naona details kwenye hiyo namba ninayoipigia...mfano:..utakuta mtu kaandika...nauza gari V8.
Kila ukipiga....kuna ujumbe unakuja pale kwenye screen.
Naomba nielekezwe ili na mimi kila atakayenipigia aone ujumbe nitakao kua nimeuandaa. Thanks