mwangwa1209
New Member
- Oct 11, 2016
- 2
- 1
Tusubiri wataalamu wa tech waje mkuu. Nimewahi seat ya mbele nawasubiri.Wakuu naomba kueleweshwa kwa wenye uelewa juu ya hili, nimekuta namba yangu ya simu imewekwa kwenye call forwarding to +255128 & +255121 ilihali sijawahi kumpa mtu simu yangu aishike, mwenye kuzifahahamu hizo namba mbili naomba anisaidie kujua ni za kampuni gani na je inawezekanaje mtu akuwekee hii kitu bila kushika simu yako...
Wenye uelewa juu ya hili naomba mnisadie kujua hii kitu.
Wakuu naomba kueleweshwa kwa wenye uelewa juu ya hili, nimekuta namba yangu ya simu imewekwa kwenye call forwarding to +255128 & +255121 ilihali sijawahi kumpa mtu simu yangu aishike, mwenye kuzifahahamu hizo namba mbili naomba anisaidie kujua ni za kampuni gani na je inawezekanaje mtu akuwekee hii kitu bila kushika simu yako...
Wenye uelewa juu ya hili naomba mnisadie kujua hii kitu.
Thread closedPole Sana Mkuu ,Hiyo ni Missed Call Alert Service.
Means simu yako kama haipo Hewani basi utapata Meseji kwamba kuna mtu fulani mwenye namba hii alikupigia mara kadhaa.
Hiyo ni Default Call Forwarding inawekwa Automatically na Operator ,hakuna hata mtu aliyeshika simu yako na kuiweka.
Kama Hauhitaji unaweza kubadili ku forward kwa namba unayotaka wewe incase your main number is not reachable.
Hao wengine achana nao,huyu mkuu kamaliza shida yakoPole Sana Mkuu ,Hiyo ni Missed Call Alert Service.