Wanajamvi habari zenu! Jamani naomba msaada kwa yeyote anaelijua kampuni/taasisi ya organia ltd inahusika na nini? Kwa maana wameniita kesho kwa interview saa nne na sikumbuku niliomba post gani kwao kwani nimetuma maombi sehemu nyingi sana hasa ya online zoom Tanzania na kazi bongo na alienipgia cm hajanieleza lolote baada ya kupata udhibitisho kua anaeongea nae ndie mlengwa na kusema kesho fika kwenye interview sehemu fulani yaani utafikiri ninaugomvi nae.
Ila wao wanapatikana kwa anuani ifuatayo;- Organia Ltd.
16th floor, PPF tower. Ohaio st. na ameniaddress adi mtu wa kuonana nae ni Mr. Ayman. Sasa kuna mtu anaeijua anijuze au km kuna mtu ameshafanya nao interview sio mbaya akanijuza pia.

)