Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,937
Ijumaa wameita tayari, usaili jtatu.Dah mbona una munkari sana mkuu.
Tar 12/6 si juzi tu mkuu.
Utajipa presha bure mkuu.
Ijumaa wameita tayari, usaili jtatu.Dah mbona una munkari sana mkuu.
Tar 12/6 si juzi tu mkuu.
Utajipa presha bure mkuu.
Hapo ni ngumu kupewa Tips maana interview ina jumuisha kada 3 Madini,Accounts na Procure ko lolote linaweza tokea hapo boss.Leteni tips za maswali basi yanayoweza kuulizwa!!!
Lolote unamaanisha nini funguka???Hapo ni ngumu kupewa Tips maana interview ina jumuisha kada 3 Madini,Accounts na Procure ko lolote linaweza tokea hapo boss.
Maswali yeyote unaweza kutana nayo mfano,Current issues yanayohusu madini,au lolote lolote lile watakalohisi wao ni sahihi.Lolote unamaanisha nini funguka???
mfano?Maswali yeyote unaweza kutana nayo mfano,Current issues yanayohusu madini,au lolote lolote lile watakalohisi wao ni sahihi.
Dar wameita tayari?
Huu uzi mbona umedorora ghafla!?Ngoja tusubiri taarifa kutoka kwa wadau
Kuna taarifa nimepewa kuwa kuna MAAGIZO wamepewa kutoka juu. Kuanzia ngazi ya DEGREE na kuendelea watolewe kwenye mchakato na wachukue wa FORM FOUR.
Ila mbona Tangazo halijataka watu wa Degree mkuu,walihitaji watu wa 4 huku wakiwa na certificate ya Uhasibu/Ugavi/Madini.Kuna taarifa nimepewa kuwa kuna MAAGIZO wamepewa kutoka juu. Kuanzia ngazi ya DEGREE na kuendelea watolewe kwenye mchakato na wachukue wa FORM FOUR.