Yaani Deadline 12/06/2019 unauliza interview leo je ukipata hiyo kazi ikitokea hujalipwa hela ya mwisho wa mwezi itakuwaje,jifunze kuwa subra ndugu acha taratibu ziendelee.Habari wanajamvi,
Tume ya madini ilitangaza nafasi za kazi kwa wasaidizi wakaguzi. Deadline ilikuwa 12/06/2019.
Je, kuna mdau yoyote aliyeitwa kwenye interview?
Asanteni.
Haha siku mbili tayari anahisi kaikosa.. Subiri hata baada ya week 3 ndio aanze kuifikiriaDah mbona una munkari sana mkuu.
Tar 12/6 si juzi tu mkuu.
Utajipa presha bure mkuu.
Inaelekea bado mgeni kitaani ndo maana anamzuka na kuitwa Interview itafika time naamini hata ku apply ataona uvivu.Dah mbona una munkari sana mkuu.
Tar 12/6 si juzi tu mkuu.
Utajipa presha bure mkuu.
Inaelekea bado mgeni kitaani ndo maana anamzuka na kuitwa Interview itafika time naamini hata ku apply ataona uvivu.

Bahati ni nadra sana dunia ya leo.Mipango gani mkuu?
Inategemea a ulipoomba Tabora wameita tayariHabari wanajamvi,
Tume ya madini ilitangaza nafasi za kazi kwa wasaidizi wakaguzi. Deadline ilikuwa 12/06/2019.
Je, kuna mdau yoyote aliyeitwa kwenye interview?
Asanteni.
Umemaliza mwaka gani boss wangu chuo?Vigezo na masharti vinazingatiwa mkuu
Certificate si ndio bila shaka it means mwaka huu upo Degree mwaka wa 1?2016 mkuu
Kiziru eya bukobaHabari wanajamvi,
Tume ya madini ilitangaza nafasi za kazi kwa wasaidizi wakaguzi. Deadline ilikuwa 12/06/2019.
Je, kuna mdau yoyote aliyeitwa kwenye interview?
Asanteni.
Yes,wenye vigezo na sifa sahihi hua ni wengiVigezo na masharti vinazingatiwa mkuu
Wameshaita... Interview this Monday.Habari wanajamvi,
Tume ya madini ilitangaza nafasi za kazi kwa wasaidizi wakaguzi. Deadline ilikuwa 12/06/2019.
Je, kuna mdau yoyote aliyeitwa kwenye interview?
Asanteni.
The job is important and urgent. Wameshaitwa wahusikaDah mbona una munkari sana mkuu.
Tar 12/6 si juzi tu mkuu.
Utajipa presha bure mkuu.