JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,563
- 18,453
Inaweza kuwa kweli..lakini nafasi zile ni kwa ajili ya maandalizi ya wafanyakazi wa TPDC mitambo ya kusafisha gesi inayoendelea kujengwa Madimba Mtwara na Ile ya kupokea gesi iliyopo Kinyerezi Dar..kukamilika kwa mradi huo ndio kutawafanya waliopata ajira kuanza kazi.Ok sorry. Kaniambia, management ya juu ya pale (hakutaja vyeo), ilipanguliwa na ukafanyika uteuzi mpya. So, hawa "wageni" nadhani watahitaji sometime. Kwahiyo according to source yangu, kikwazo kikubwa hadi sasa ni huo mpangaruko tu wa menejiment.