Wanu
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 353
- 224
Kweli mkuu? Vigezo na qualification watu baadhi walioomba hiyo post mbona wanakidhi??? Mmmhhh!!!
Wamesoma wapi mineral economics boss? Na sijajuwa walitumia vigezo gani.
Kweli mkuu? Vigezo na qualification watu baadhi walioomba hiyo post mbona wanakidhi??? Mmmhhh!!!
Mara ya tatu sasa itakuwa wana readvertise.Hiyo imekosa watu, watu walioapply hawakuwa na vigezo, it will be re advertised soon.

Labda ishakatwa kidogo si wajua tena mambo ya AIRTEL money, siku hizi lazima ukatwe kidogo