KALITHERMAL
Member
- Aug 22, 2013
- 81
- 8
They are smart sio nafasi 10 mnaita watu 1000,it's sad hawajanishortlist,all the best for the shortlisted.
They are smart sio nafasi 10 mnaita watu 1000,it's sad hawajanishortlist,all the best for the shortlisted.
nshakosa hizooo, naangalia nyingine sasa
hahahahahahahaha hadi raha:frusty::frusty:
Habari wadau ,naona post niliyoomba nimecheck haijawekwa,post ya Economist, mwenye list nyingine au info.
Naona kuna watu wameitwa nafasi mbili tofauti. i.e mtu ameitwa kwenye nafasi fulani kisha jina lake hilo hilo linaonekana tena kwenye nafasi nyingine.
Post nyingine nadhani bado hawajashort lists..wameshort list part of but mwenye taarifa atujuze...
Aha hah.. Ofcourse they are. Also, they release the shortlist early than we have expected. I applied the post, but I am unsuccessful too. All the best to the shortlisted candidates.
pole secret service uko mtaani kwa muda gani?niko mtaani 2011 !
labda ishakatwa kidogo si wajua tena mambo ya airtel money, siku hizi lazima ukatwe kidogo
Habari wadau ,naona post niliyoomba nimecheck haijawekwa,post ya Economist, mwenye list nyingine au info.
Hiyo imekosa watu, watu walioapply hawakuwa na vigezo, it will be re advertised soon.
They are smart sio nafasi 10 mnaita watu 1000,it's sad hawajanishortlist,all the best for the shortlisted.