Jiggy El Jefe
Senior Member
- Aug 10, 2017
- 143
- 170
Maswali ni mengi kama vile, Jiwe ana mwaka mingapi? , je jesca yupo wapi?Habarini Wakuu,
Kwa mwenye ideas, maswali ambayo yanaweza kuulizwa na mawazo juu ya interview za sales kwenye banks, naombeni msaada kidogo, kwani hii ndo ya kwanza kufanya, na napenda kuifanya vizuri kabisa.
Ahsanteni
Nimefanya nao kazi TPB shinyanga yaan ifahamu vizuri Tpb kwanzia mission, vission objctvs etc. Faham pia product zake wanajishughulisha na nini, lkn pia unategemea kuleta mabadiliko gani baada ya kuajiliwaHabarini Wakuu,
Kwa mwenye ideas, maswali ambayo yanaweza kuulizwa na mawazo juu ya interview za sales kwenye banks, naombeni msaada kidogo, kwani hii ndo ya kwanza kufanya, na napenda kuifanya vizuri kabisa.
Ahsanteni
Unataka uzamie interview za watu mkuu??Mkuu naomba uniambie basi iyo interview inafanya lini, muda gani na wapi
Nimefanya nao kazi TPB shinyanga yaan ifahamu vizuri Tpb kwanzia mission, vission objctvs etc. Faham pia product zake wanajishughulisha na nini, lkn pia unategemea kuleta mabadiliko gani baada ya kuajiliwa
Mkuu,wewe ndiyo ulikua unatafuta wateja maofisini??? target 50 customers kwa mwezi,ukipiga 49 hupati kitu... Mlikua mnateseka sana wadogo zetu jamani
Mkuu vipi umemfahamu niniMkuu,wewe ndiyo ulikua unatafuta wateja maofisini??? target 50 customers kwa mwezi,ukipiga 49 hupati kitu... Mlikua mnateseka sana wadogo zetu jamani
Hata mi nakukumbuka Dogo nilikuaga kikazi hapo kama wiki mbili ulikuja kuwasumbua wafanyakazi porojo nyingi kama wale promotion kwenye mabasi au wauza Dawa za meno kwenye mabasiMkuu vipi umemfahamu nini
Hahahaha maisha ...........!Mkuu naomba uniambie basi iyo interview inafanya lini, muda gani na wapi
Jamaa anataka akazamie itakuaHahahaha maisha ...........!
Mhh..sio mimi mkuu..ni mdau hapo juuHata mi nakukumbuka Dogo nilikuaga kikazi hapo kama wiki mbili ulikuja kuwasumbua wafanyakazi porojo nyingi kama wale promotion kwenye mabasi au wauza Dawa za meno kwenye mabasi
Sina majina, nna email yangu tu ya invitationkwani mkuu TPB wanabandika majina ya watu watakaokwenda interview au wanapiga simu kwa watu walio wa shortlist.??
kama una list ya majina ungepost hapa hapa mkuu
Mkuu,wewe ndiyo ulikua unatafuta wateja maofisini??? target 50 customers kwa mwezi,ukipiga 49 hupati kitu... Mlikua mnateseka sana wadogo zetu jamani
Kama mnaenda oral moja kwa moja basi pitia products za benki kama; aina ya mikopo(mikopo midodo midogo ya mtu binafsi(micro credit loans), mikopo mikubwa(business loans), bidhaa ya bima(insurance business ambayo ni moja ya targets za sales excutive), fund transfer(western union, Tiss, TT, Western union pay), savings accounts uzijue pia(WADU-WEKA AKIBA DAIMA UPATAPO, minor accounts, joints accounts, group accounts, current accounts), pia unatakiwa kujua changamoto benki inazopitia hasa baada ya kuungana na TWB na TWIGA Bancorp ikiwemo suala la ukwasi(liquidity) na mikopo chechefu, pia unaweza kuwaua na kitu kinaitwa IFRS 9 inayotaka benki kutenga kiasi cha fedha kama tahadhari ya mikopo michafu katika mwaka wa fedha(Hii inaweza ikawafanya wakuhamishe toka sales na ukaenda kuwa officer kabisa), pia inatakiwa ujue majukumu yote yakiyo orodheshwa kwenye majukumu ya nafasi uliyoitwa ikiwemo kutafuta accounts mpya za wateja binafsi, makampuni, vicoba, vikundi, mashule! Kutafuta wateja wapya wa bima, kutafuta wateja wa account za mda maalum(fixed deposit accounts-ambazo ukipata mil.200 bonus yako na mshahara kwa mwezi ni 1.4mil, utazipata hasa kwa wastaafu na wafanyabishara wakubwa) pia ujue ni kwa mda gani mteja anaweza fix hela zake ambapo maximum ni 2 years na anaweza kuamua kulipwa interest yake kila mwezi kwa riba ya asilimia 12 kwa mwaka na 24 kwa miaka miwili, pia kutafuta wateja wa mikopo, kuuza kila aina ya bidhaa ya benki iwemo pia bima maisha, bima za magari toka kwa kampuni lolote la bima kwakuwa tpb bank ni broker(dalali) wa mashirika karibia yote ya bima ikiwemo alliance, britam na mengineyo, pia uwaonyeshe kuwa una uelewa wa sehemu unayo enda kufanya kazi! Maana huwa wanapendelea kumpeleka mtu sehemu anayoweza kuingiliana na tamaduni za eneo husika! THANK ME LATER!Habarini Wakuu,
Kwa mwenye ideas, maswali ambayo yanaweza kuulizwa na mawazo juu ya interview za sales kwenye banks, naombeni msaada kidogo, kwani hii ndo ya kwanza kufanya, na napenda kuifanya vizuri kabisa.
Ahsanteni