Wadau samahan mwenye software ya kublock call and sms kwa blackberry curve ukiacha call blocker kwan nimetumia nimeona haipo userfriend pili inazuia calls tu tatu namba uliyoblock inacall kwa few second nami nataka software ambayo inazuia moja kwa call and sms