Huu uhandishi sio mahala pake kaandikie facebook sawa?kumbe ata marekani kuna mataira xx kwann kuna kupiga kura, maana yake kwamba tunachagua mtu kwa matakwa ya walio wengi xx na hao walio chagua trump km hasingepita je ina maana wahandamane, mi naona km wamevurugwa tu na upepo wa trump
Jifunze kuandika (ktk) ndio nini?inaonekana walimu mpo wengi humu yaani ktk maelezo yote umeona hayo ndio yakuchukua acha ok kila kheri
uwa sipendi ligi nimekusikia nitalifanyia kaziJifunze kuandika (ktk) ndio nini?
kwa sababu kashinda Trump.Mfumo wa uchaguzi wa Rais wa Marekani ni mfumo wa hovyo sana uliowahi kupata kutokea katika historia ya Demokrasia duniani..!
ndo umeongea nn asa maana sijakuelewa hata kidogoCalifornia wamethubutu kujaribu kujitenga na USA wawe na nchi yao, je kule kwenye nchi iliyozungukwa na maji lini watathubutu?
Usisubiri kutafuniwa Kila kitu umiza kichwa[emoji35] [emoji35] [emoji35]ndo umeongea nn asa maana sijakuelewa hata kidogo
Mfumo wa uchaguzi wa Rais wa Marekani ni mfumo wa hovyo sana uliowahi kupata kutokea katika historia ya Demokrasia duniani..!
siku wakimkata kichwa jecha na kampani yake.California wamethubutu kujaribu kujitenga na USA wawe na nchi yao, je kule kwenye nchi iliyozungukwa na maji lini watathubutu?
mkuu mimi hata mimi siulewi , naonaga mapichapicha