Haha kweli kibila tatizo langu siwekezi sana katika kutegemea vyama ndo maana unakuta niko na chama hicho hicho miaka yote maana siko active katika siasa, lakin nataka kujiuliza we mtu ndo una kamtaji kako umejikwamua uanze kutoka.mtu anakutoza robo na zaid ya hela ile, pia nje ya hapo mizigo inachelewa kutoka hadi inakatisha tamaaPole mkuu, kumbe wewe ni ccm duu mimi nilishahama hiki chama kisicho jua kutafuta vyanzo vingine vya mapato,watu wanakaa na kufikiria vitu vidogovidogo tu wanaacha madini na mali asili zingine za nchi hii zikiwaneemesha watu weupe
Namba inasomeka sawa sawa. Hakuna aliekulazimisha kuichagua push up.Naanza kwa kusema kuwa mi ni mwanachama wa CCM tokea mwaka 2002 na mwanachama hai kabisa,
Usomaji wa namba huu unatuumiza watu wengi sana tena ambao ni wachanga katika biashara, binafsi sipendezwi na jinsi mtu anavyokamuliwa hela ya kutosha hasa kama unaingiza vitu kutoka nje, sijapenda kabisa
1. Pale airport dar es salaam, mtu ukiwa na mzigo wa sh 38,000,000 kodi ya kutozwa ni zaid ya milion 10 hela ambayo nimekuwa nikitozwa mpaka kushangaa, hii inaumiza sana , maana ukamuaji huu umepitiliza sasa,
Nina evidence za kutosha, jana mzigo umekuwa cleared airport, thaman yake ni sh 62,500,000 lakin nashangaa nimetozwa hela 43% kama malipo ya hapa na pale, TBS 15% TRA 18% Sijui cargo clearance fee asilimia kadhaa, sijui argent fee, jumla nimelipa ths 26,300,000 sasa hapo tunaumizana sasa vitaftwe vyanzo vingine tofauti na kubana sisi ambao ndo tunaansa alafu mnatukamua, pia sitaki kutaja mazingira mengine yalotokea pale ya kitu kidogo maana nikiwataja watashindwa kunipitishia mzigo Wangu tena na saa nyingine kubambikiwa kesi ya madawa au nyara za serikali
Kwa trend hii naona mheshiniwa BADO ANA KAZI KUBWA YA KUFANYA KUVUMBUA VYANZO VINGINE VYA KODI, japo nasisi inabidi kulipa kodi stahiki,
Mi sifichi siwez kupigia kura mtu asiye na nia njema katika uongizi wake, nakomea hapaNamba inasomeka sawa sawa. Hakuna aliekulazimisha kuichagua push up.
Kumbuka kale kanyimbo cha mtaisoma namba ulichokuwa unakakenulia meno na mbaya zaidi ulidhani push up ndio zinahitajika ikulu ukasahau akili kubwa iliyokuwa na mipango madhubuti ya kuendeleza nchi.
Acha dawa iwaingie.
Pia uchaguzi siyo kitu cha kuendeleza sana kama kampeni katika maisha ya kawaidaNamba inasomeka sawa sawa. Hakuna aliekulazimisha kuichagua push up.
Kumbuka kale kanyimbo cha mtaisoma namba ulichokuwa unakakenulia meno na mbaya zaidi ulidhani push up ndio zinahitajika ikulu ukasahau akili kubwa iliyokuwa na mipango madhubuti ya kuendeleza nchi.
Acha dawa iwaingie.
Basi kufa kiume kwani ulilazimishwa kuichagua push up.Mi sifichi siwez kupigia kura mtu asiye na nia njema katika uongizi wake, nakomea hapa
Haha kweli kibila tatizo langu siwekezi sana katika kutegemea vyama ndo maana unakuta niko na chama hicho hicho miaka yote maana siko active katika siasa, lakin nataka kujiuliza we mtu ndo una kamtaji kako umejikwamua uanze kutoka.mtu anakutoza robo na zaid ya hela ile, pia nje ya hapo mizigo inachelewa kutoka hadi inakatisha tamaa
Ila pole sana kwa yaliyokukumba hapo airport. Ndio namba zenyewe zinavyosomeka.Pia uchaguzi siyo kitu cha kuendeleza sana kama kampeni katika maisha ya kawaida
Kila kitu ni sera na hizo tozo ni moja wapo ya sera zitokanazo na siasa. Usipofushe na kijani ukasahau kuna maisha njee ya mdudu wa kijani.Inakatisha tamaa
Kweli lakin kaka wanapokosea wakosolewe lakin hata wangekuwa UKAWA pia kuna jambo wangefanya likamuumiza Mwana UKAWA haimaanishi kuwa wangefanya kwa hundred percentKila kitu ni sera na hizo tozo ni moja wapo ya sera zitokanazo na siasa. Usipofushe na kijani ukasahau kuna maisha njee ya mdudu wa kijani.
Inakatisha tamaa
Sawa lakin si kwa calculations hiyoHata mm ni CCM long ago.. kwani CCM tunalipa kodi..? Ok nimekumbuka, kipindi hiki cha JPM hakuna cha CCM wala nani.. wote ni kulipa kodi tu.. nimekumbuka..
Lipa kodi kwa maendeleo ya nchi yetu.. hata ukiwa CCM yapaswa kulipa..