Zamani za kale kulikua na vita huko MISRI. Nyerere na Kawawa walikuwa moja wa piganaji wa vita hvyo. Wakati vita vimenoga Nyerere akanyanyua kaa la moto akamwambia Kawawa "Kaa iro (CAIRO)" Kawawa akajibu "Mimi siri (MISRI)
Hicho ndio chanzo cha majina ya CAIRO na MISRI