Sam Seaborn
Member
- Aug 20, 2011
- 98
- 39
Mnajua kwa nini Mkaguzi mkuu wa mahesabu Ndugu Ludovick Utouh kaficha ripoti za ukaguzi za TANESCO na NHC ?
mbona mnapenda makuu
wanayo sababu za kuficha sasa mmekatazwa kuiba na nyinyi?
kutokana na weledi wa huyu mzee siamini kama kweli kaficha hizo ripoti
mmejaribu kwenye tovuti ya National Audit?
kutokana na weledi wa huyu mzee siamini kama kweli kaficha hizo ripoti
mmejaribu kwenye tovuti ya National Audit?