Kwa taarifa za ndani mkoani Kagera, zinasema kuwa CAG amewasili kukagua hali ya manispaa Bukoba, na hii ni kutokana na ushauri uliotolewa na kamati kuu ya CCM taifa baada ya kutokea mgogoro unaomuusisha Meya manispaa hiyo, baada ya kulalamikiwa kupitisha miradi bila kufuata taratibu.
Jopo hili la wakaguzi, limewasili hapo baada ya kulalamikiwa na baadhi ya wananchi kuwa amechelewa hivyo yawezekana taarifa zikawa siyo za kweli.
Taarifa zinasema kuwa kesho viongozi na madiwani wa halmashauri hiyo kuwapa taarifa jinsi kazi itakavyoanza.