Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 678
- 923
Kwenye hili kundi naona maji na mafuta vimejitenga. Labda utokee muujiza.GROUP D
ESPERANCE TUNIS
PYRAMIDS
GDSE
DJOLIBA AC
Unajitekenya na kucheka mwenyewe sheikh yahya, kiufupi wewe na okwi boban mmekuwa ni fungu la kukosa kwenye tabiri zenu zote, ulitabiri msimu uliopita kwamba yanga ataburuza mkia kwenye kundi lake la Ahly ahly, belouzdad na medeama, ukasema ndio ulikuwa mwisho wake but yanga alikuziba mdomo ukatokomea kusikojulikana, Leo hii unaleta Tena utabiri wako wa kindezi ndezi,,kwa akili yako tu ya kawaida hapo Kuna timu Gani ya kumtisha yanga mpaka akose ata sare?Utabiri wangu karibia utimie. Yanga msidhani TP Mazembe hii ndiyo ile mliyojipigia miaka 2 iliyopita. TPM hii imewekeza na ilifika nusu fainali msimu uliopita.
Utabiri wangu Yanga safari yenu imeishia hapo. Hamvuki hatua ya makundi. Hakuna timu hapo ambavyo mtaweza kupata hata sare kwao na kuna wawili watakuja kuwakanda hapa hapa nyumbani kwenu.
Ulitaka awekwe Mamelody na Al AhlyHili kundi letu Uanga ni baya na halina mvuto hovyo kabsa
Kama wale wa kombe la wakinamama๐คฃ๐คฃIbenge naamini hatofanya makosa achilia mbali Mazembe
Kuna watu watamaliza nafasi ya 3
Kundi halivutii game zote zitabidi zichezewe chamazi walau mashabiki waonekane wamejaaUlitaka awekwe mamelody na al ahly
Wanaume hawahitaji mvuto aisee..Hili kundi letu yanga ni baya na halina mvuto hovyo kabsa
Porojo za mashabiki wa bongo huzijui?.Tunajiona wakubwa wakati hatujawai kuchukua makombe yoyote makubwa zaidi ya majisifu.Aiseee Simba tuache kupiga hesabu za mfukoni, mpira mchezo wa kikatili mno.
Game zetu labda tuchezee chamazi,kundi halivutiiWanaume hawahitaji mvuto aisee..
Yanga wamepangiwa Kundi linaitwa ''HAWAVUMI LAKINI WAMO "Naona damu tu dadeki...
Hapa Yanga hachomoki jamani.
Robo fainali ya nyoko....Wananchi robo fainaili hiyoooo!!!!
Nikumbushe niliposema Yanga itaburuza mkia msimu uliopita.Unajitekenya na kucheka mwenyewe sheikh yahya, kiufupi wewe na okwi boban mmekuwa ni fungu la kukosa kwenye tabiri zenu zote, ulitabiri msimu uliopita kwamba yanga ataburuza mkia kwenye kundi lake la Ahly ahly, belouzdad na medeama, ukasema ndio ulikuwa mwisho wake but yanga alikuziba mdomo ukatokomea kusikojulikana, Leo hii unaleta Tena utabiri wako wa kindezi ndezi,,kwa akili yako tu ya kawaida hapo Kuna timu Gani ya kumtisha yanga mpaka akose ata sare?
Ebu itaje iyo timu hapa ili tuitunze risiti yako vizuri!
Cecafa timu tatuView attachment 3117801
Uto atajiamini sana hapa na hatoboi.
Vipi nyie mnaojitaga Majayantiiiii mshatoboa, maana Magori kuna kipindi anahojiwa na Azam kipindi cha michezo cha Asubuhi, alisema malengo yenu ya msimu huu ni kuingia fainali shirikisho. So kabla hujawapa angalizo Yanga,ungeanza na kiongozi wa club yaok,maana yy mwenyewe kajipa asilimia zote.Utabiri wangu karibia utimie. Yanga msidhani TP Mazembe hii ndiyo ile mliyojipigia miaka 2 iliyopita. TPM hii imewekeza na ilifika nusu fainali msimu uliopita.
Utabiri wangu Yanga safari yenu imeishia hapo. Hamvuki hatua ya makundi. Hakuna timu hapo ambavyo mtaweza kupata hata sare kwao na kuna wawili watakuja kuwakanda hapa hapa nyumbani kwenu.