Al hilal awezi kutoboa kwa yanga hii ya sasa, tuliwaona wanacheza mechi za kirafiki hapa na tumewaona pia wakicheza uko Mauritania ni wa kawaida sana kwa sasa
Utabiri wangu karibia utimie. Yanga msidhani TP Mazembe hii ndiyo ile mliyojipigia miaka 2 iliyopita. TPM hii imewekeza na ilifika nusu fainali msimu uliopita.
Utabiri wangu Yanga safari yenu imeishia hapo. Hamvuki hatua ya makundi. Hakuna timu hapo ambavyo mtaweza kupata hata sare kwao na kuna wawili watakuja kuwakanda hapa hapa nyumbani kwenu.