Mtumpole
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 2,280
- 1,296
Tupe link ya CAF sasa
Kwani Mikia si aliondoshwa raundi ya kwanza na Ud Songo,huo ubora kautoa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Daaa asee nimechanganya mamboRound ya kwanza? Mbona unawapandishsha mkuu, walitolewa preliminary round ( round za awali)
Unadhani nimekataa basi.
Halafu hii imekuwa ngumu kwao sijui kwa nini sa? 🤔🤔🤔Tupe link ya CAF sasa
😅😅😅 Ndio unaongea na simu ama? 🏃♂️🏃♂️🏃♂️basi. simba imepiga hatua kubwa mno
√π⁴=℅¶[mbise]½.
Miezi yoote iko humuUnadhani nimekataa basi.
Leta link ni go huko CAF nikaone. [emoji28]
Hapa umewafanya wende PM kuulizana "Tufanyeje?"Unadhani nimekataa basi.
Leta link ni go huko CAF nikaone. [emoji28]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23]Halafu hii imekuwa ngumu kwao sijui kwa nini sa? [emoji848][emoji848][emoji848]
#LETENILINK
😅😅😅Hapa umewafanya wende PM kuulizana "Tufanyeje?"
nmejaribu kufuatilia hii habari naona ni uzushi, sijui mwenzetu ametumia source ipi😅😅😅 Ndio unaongea na simu ama? 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Mkuu mbona takwimu zinakinzana?
Nimeacha ndugu[emoji2]