Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,149
- 14,488
CAF imesema tabia hiyo ni “unacceptable behaviour”.
Thiaw atasimamishwa (suspension), idadi ya mechi bado haijatangazwa.
CAF inachunguza video zote, na kuna uwezekano wa adhabu zaidi kwa maofisa au wachezaji.
My take:
Senegal wanapaswa waondolewe ushiriki wa kombe la dunia maana walionesha ujinga wa hali ya juu.