Haa HaaJersey bila ya matokeo ni kama kusifia eti mnauza sanda nzuri
Mpira uwanjani jezi hazichezi mpira, jezi za Rivers united hata bure sivai ..Jersey bila ya matokeo ni kama kusifia eti mnauza sanda nzuri
Tatizo hawa masela wanamdomo sana wakati mwisho wao wa kujulikana ni hapo nanjilinjiComment zenu mbona kama zinawalewanga kile kikundi cha masela wa pale panapojaaga maji msimu wa vuli na masika[emoji848]
Braza hao masela sijawahi kuwasikia nanjilinji miaka 10 sasa tangu naanza kulima ufuta huku,labda unasema chivirikiti au mmwiti huko.Tatizo hawa masela wanamdomo sana wakati mwisho wao wa kujulikana ni hapo nanjilinji
Unapokuwa unaongelea yanga jitahidi kutumia mifano ya kagera na dodoma jijiNi hivi,
Kila timu huwa bora katika msimu ama misimu fulani hivyo hizo taasisi za kimichezo huwa karibu na hizo timu zinazofanya vizuri ili wawe na platfm kubwa zaid.
Msiwabeze wapinzani wenu kuwa hawana kitu,hapana ni kwamba hawajafanya vizuri kwa misimu mitatu mfululizo.
Angalia man u,sio kwamba ni timu mbovu au ndogo hapana ni timu yenye mafanikio ila kwa miaka kadha hawajapata mafanikio,ifike pahala vilabu vyetu viheshimiane.
Wanahabari na vyombo vyao wana mchango mkubwa kuharibu hizi timu iwe ni kwa mpango maalumu au lah.
Ni bora umuheshimu Biashara United ambae akipigwa VPL kimataifa anampiga mtu , sasa huyo msela anapigwa kotekote sasa unamuheshimu kwa kipi zaidi ya kuiletea nchi aibu.Ni hivi,
Kila timu huwa bora katika msimu ama misimu fulani hivyo hizo taasisi za kimichezo huwa karibu na hizo timu zinazofanya vizuri ili wawe na platfm kubwa zaid.
Msiwabeze wapinzani wenu kuwa hawana kitu,hapana ni kwamba hawajafanya vizuri kwa misimu mitatu mfululizo.
Angalia man u,sio kwamba ni timu mbovu au ndogo hapana ni timu yenye mafanikio ila kwa miaka kadha hawajapata mafanikio,ifike pahala vilabu vyetu viheshimiane.
Wanahabari na vyombo vyao wana mchango mkubwa kuharibu hizi timu iwe ni kwa mpango maalumu au lah.
Kwa hiyo Rivers timu inayoanzia mchangani kwenye caf champions league ni ngumu? Akkli ya utopolo wanaijua wenyewe!Nani asiyeipenda simba ukiachana na wavuta bangi ?
Nenda kwa wanalamba lamba watakwambia simba baba lao
wanajeshi wa mpakani huwaambii kitu kwa mnyama
Sasa Caf wameanza kuisogelea simba
washajua simba ina mashabiki wengi sana
Na mpira unahitaji mashabiki tena mashabiki lia lia
Hivyo wameamua kukaa karibu nao wanajua ukitaka comment nyingi kwenye page zao za mitandao ya kijamii wanaiongelea simba
Uzuri wake simba haiongelewi kwa mabaya kama wachavuzi wa huku bongo hivyo wanapata wanachokitaka
Kuanzia sasa nakuendelea huwezi kukuta timu ngumu ikikutana na simba kwenye hatua za mwanzo
Mpira una fitina nje ya uwanja
wanajua mashabiki wakiruhusiwa wana uhakika wa mashabiki elfu sitini mechi tano hadi saba kila msimu
wanataka nn zaidi ya hela na simba ni hela
Usishangae kuona wachezaji wa simba katika kurasa za caf kila wanapotimiza miaka kadhaa
Ila kamwe hautakuta wadaka mishale wakiwa katika kurasa zao
wanakwambia kama anadaka mishale akapigane na Jumong huko
View attachment 1937053
Kuhusu kubeza hayo ni maneno ya mashabiki tu,sasa kama Yanga inashindwa kufanya vizuri kwa sababu inabezwa na fans wa Simba huo ni ujinga wao.Ni hivi,