CAF Champions League

Haa ahaaa haaa mbuyu twiiiteeee naipenda sana yanga haaa haaaa
 
Watani zangu yanga kweli mumeniangusha! Hasa Bahanusi, ayayayayayayayayaaaaaaaaaa! Basi tu!!
 
Al ahly wanashambulia sana kwa sasa, Goli walilopata limewaamsha sana, Still Dar young wanaweza fanya kitu ndani ya hizi dk kumi,


Sent from my iPhone using JamiiForums

mavi ya yanga kwenye chupi. hahahaaaaa. waje tu wasione aibu
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.hv Manji na yeye si mwarabu?kachukua hongo huyooo
 
Dah mech hizi sio fair kabisa yaani ka penati kamoja tu kanawakosesha watu milion 400
 
tumekosa tena

Bahanuzi na mbuyu

TUMETOLEWA

WELL DONE YANGA, NEARLY THERE///
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…