CAF Champions League

wigan kuifunga man city ni dalili ndala wanaweza kubahatisha kumtoa bingwa wa africa
Disco limeingiliwa na mmasai sime nje nje..........poleni yanga.
 
الأهلى

للرياضة البدنية‎

لنادى الأهلى

1-0

Aleyo obe?
 
Yanga wamepaki basi jaman, wanakaribisha mashambulizi
 
للرياضة البدنية‎

Al Ahly 1-0 Yanga
 

Al Ahly 1- Yanga 0 bao limefungwa dakika ya 71 kutokana na uzembe wa mabeki kutokuondoa haraka hatari iliyokuwepo eneo la goli!
 
Yanga walikuwa busy ku protect Lango lao

la pili litaingia sasa hivi kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…