CAF Champions League

Jamaa wametukamata si mchezo
Tusali sana jamani
 
Al ahly tv wanaonyesha bado bila bila
 
wanajiangusha angusha kama Manchester united, Chelsea, Brazil, England. Yanga wana ugumu wa Germany
 
wenyeji wanapata faulo nje kidogo ya 18. dakika ya 9
 
Acha kuleta utani kwenye mambo ya maana. Dakika ya nane, hakuna goli.

Mi sijajua hawa jamaa kisabengo wanakitoa wapi?!

Yanga kama ni kushinda atashinda tu na kama ni kufungwa atafungwa tu!
 
dk ya 09 faulo kwa yanga ni jiran na goli duh wamekosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…