Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,609
- 8,298
Shabiki mandazi utakuwa...!Mimi ni shabiki nguli wa Yanga , nawatakia Simba ushindi mnono wa magoli 4 kwa bila.
Daima mbele nyuma mwiko.
Shabiki mandazi utakuwa...!Mimi ni shabiki nguli wa Yanga , nawatakia Simba ushindi mnono wa magoli 4 kwa bila.
Daima mbele nyuma mwiko.
lazima watapitisha idadi mbumbu fcKwa taarifa za awali na zilizonifikia ni kua mpaka sasa club ya Simba imeruhusiwa kuingiza mashabiki 10000 kwenye mchezo wa trh 3/4/2021 dhidi ya As Vita Club .
Taarifa njema kwa simba ilocheza bila mashabiki kwenye mchezo wa mwisho dhid ya Al merreikh ni kua mchezaji fundi wa As Vita Shaaban Djuma hatakua sehemu ya huo mchezo.