Habari yenu wadau!
Natafuta kifaa kinaitwa "CABLE MODEM"... Nimejaribu kuzunguka maduka kadhaa kwa hapa Dar; but nobody has it or even seem to know it... Nimeweka picha ya hiyo device hapo chini...
Kama kuna mtu anafahamu zinapouzwa or any way to help; please PM me... Asanteni Sana!
Zipo za aina nyingi from different manufactures; that's why I was general ili mwenye nayo anambie anayo ya aina gani?
kuhusu kuitumia wapi: It's my own simple project...
For a brief clarification:
Cable modems provide high-speed Internet access over cable TV networks (which rely primarily on fiber-optic or coaxial cable). The most popular devices for broadband Internet access, cable modems support very high data rates...
Binafsi ningependa yenye specifications zifuatazo:
- DOCSIS 3.0 or even 2.0 wideband Internet capabilities
Thank you for that man! Appreciate that...
Hata mimi baada ya kuzunguka sana; I came to that conclusion... nilitaka tu niulize na hapa... before I decide to even buy it online or otherwise.