C. Ronaldo aandika jina lake kwenye vitabu vya kumbukumbu vya soka la kimataifa

geometry

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
466
356
Ronaldo ameingia kweny orodha ya wachezaji 10 wenye magoli mengi zaidi kwa timu zao za taifa kwa muda wote baada ya kufikisha goli 71
5865aae9d07c1885b825a7a6e0e4963b.jpg
 
Ameshindikana na jamii huyu mtu, mwenzio huko kafungiwa mechi nne na jana wamepigwa 2-0.. hongera CR7 a.k.a one man army..
 
Huyo Godfrey "ulca "chitalu wazambia kuna wakati walipeleka malalamiko kuwa kwa msimu mmoja alifunga magoli mengi kuliko Messi.
 
Anaeongoza ni muiran..hawa utakuta wanajichezea na palestina mtu anapigwa 10 unakuka mchezaji mmoja kaingia kambani Mara 8..
 
Anaeongoza ni muiran..hawa utakuta wanajichezea na palestina mtu anapigwa 10 unakuka mchezaji mmoja kaingia kambani Mara 8..
CR7 anawanyooshaga akina Andora adi kufikia magoli mengi ivo, neymar jr ni hatari
 
Back
Top Bottom