Mwana CCM.
Member
- Jan 4, 2011
- 83
- 10
Mimi ni mwanachama wa C.C.M, na kiongozi ndani ya Chama katika ngazi ya Wilaya lakini kwa mara ya kwanza nalazimika kusema ukweli, Malalamiko ya viongozi wetu ngazi ya Taifa kuhusiana na maandamano ya CHDEMA yalenge katika ukweli, tujiulize hawa watu wanalaumu nini? na wanawaambia nini wananchi? kuna ukweli ndani yake? kama hakuna ukweli kwa yale wanayoyasema tuwashitaki haraka iwezekanavyo, nahisi kama hatuwatendei haki kusema wana dhamira ya kumwaga damu, so far sijaona kosa walilofanya na ndo maana hawajapelekwa mahakamani na wakapatikana na hatia hizo, unajua kwa haya malalamiko yetu inaonyesha hatutaki changamoto za kweli na hatupendi vyama vya upinzani viwe strong. Nadhani sisi kama chama tuwe wa kweli wananchi wamechoka na maisha duni yanayozidi kuwa makali kila kukicha nadhani umefika wakati sasa viongozi wetu kutekeleza ilani zetu kwa vitendo na tusifanye siasa katika hili, tukiri katika utawala huu mambo yamekuwa tofauti sana ukilinganisha na vipindi vilivyopita kwa mfano itakuwa ni busara sana tukitumia muda mwingi kujibu maswali yanayoulizwa kwa mifano hai ya utekelezaji wa tuliyo waahidi kuliko kulaumu tu na umefika wakati sasa tuwe na ahadi chache na zinazotekelezeka ni hatari kuahidi maisha bora kwa kila mtu ilihari hata nchi tajiri zinapata changamoto kubwa sana kufikia hiyo hatua, tunatakiwa tujipange vinginevyo watatushinda kwa hoja mbele ya wananchi.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

CCM mnachekesha saana, mnasahau kuwa Chadema ni chama cha upinzani ambacho daima dumu hakitageuka kuwasifia ninyi. Hiyo ndio nature ya vyama vyote vya upinzani. Tumeona USA, Obama aliposhinda tu na Demokrats wake Republican wakaanza kumshughulikia on the sport, na tumeona hali ilivyokuwa katika kupitisha budget kwa ajili ya kuwasaidia watu wa chini, na matokeo yake ikabidi Obama atafute muafaka na Republican. Lakini hatukusikia hata siku moja Demokrats wanalalamika na kusema wanahujumiwa. Lakini CCM ya kwetu kulia lia kama watoto wadogo kiasi kuwa mtu unashindwa kuelewa ni nani anaongoza nchi. Badala ya CCM kuongoza na CDM kujibu mapigo hali ni kinyume CDM inaongoza na CCM inajibu kwa kulalamika tu kuwa inaonewa ati kwa sababu dunia nzima uchumi umedolola. Kwa nini basi msiachie madaraka??? Hii ndio dhambi ya kuiba kura!!!!Jamani haya maandamano ya CDM na maneno yanayotolewa kwenye mikutano ni uchochezi ili wananchi waichukie Serikali. Uchaguzi umefanyika miezi mitatu tu iliyopita. Si msubiri basi kidogo muone kasi zaidi na ari zaidi itatoa matunda gani? Viongozi ndio kwanza wamechaguliwa (Mawaziri, wabunge n.k.). Si muwape muda basi muone watafanya nini? Kama kuna makosa ndani ya Chama na Serikali ni dhahiri yameshaonekana, kwani wao wajinga kuendelea na makosa hayo? Naamini wako katika harakati za kuyarekebisha makosa na kutafuta ufumbuzi wa kuleta mabadiliko na maendeleo kwa wananchi na kuondoa kero. Hii mikutano sioni kama inalenga kuleta maendeleo, ni kuleta uvunjaji wa amani tu. Mimi sio mwanasiasa na siko upande wowote, lakini naipenda nchi yangu na napenda Amani. Tusimuandame Rais wetu na Serikali yetu kwa mambo ambayo yako katika mchakato wa kutekelezwa. Mabomu, umeme, ukali wa maisha n.k. vinatakiwa kutafutiwa ufumbuzi, sio kuandamana na kutoa lawama tu.
Mimi ni mwanachama wa C.C.M, na kiongozi ndani ya Chama katika ngazi ya Wilaya lakini kwa mara ya kwanza nalazimika kusema ukweli, Malalamiko ya viongozi wetu ngazi ya Taifa kuhusiana na maandamano ya CHDEMA yalenge katika ukweli, tujiulize hawa watu wanalaumu nini? na wanawaambia nini wananchi? kuna ukweli ndani yake? kama hakuna ukweli kwa yale wanayoyasema tuwashitaki haraka iwezekanavyo, nahisi kama hatuwatendei haki kusema wana dhamira ya kumwaga damu, so far sijaona kosa walilofanya na ndo maana hawajapelekwa mahakamani na wakapatikana na hatia hizo, unajua kwa haya malalamiko yetu inaonyesha hatutaki changamoto za kweli na hatupendi vyama vya upinzani viwe strong. Nadhani sisi kama chama tuwe wa kweli wananchi wamechoka na maisha duni yanayozidi kuwa makali kila kukicha nadhani umefika wakati sasa viongozi wetu kutekeleza ilani zetu kwa vitendo na tusifanye siasa katika hili, tukiri katika utawala huu mambo yamekuwa tofauti sana ukilinganisha na vipindi vilivyopita kwa mfano itakuwa ni busara sana tukitumia muda mwingi kujibu maswali yanayoulizwa kwa mifano hai ya utekelezaji wa tuliyo waahidi kuliko kulaumu tu na umefika wakati sasa tuwe na ahadi chache na zinazotekelezeka ni hatari kuahidi maisha bora kwa kila mtu ilihari hata nchi tajiri zinapata changamoto kubwa sana kufikia hiyo hatua, tunatakiwa tujipange vinginevyo watatushinda kwa hoja mbele ya wananchi.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Mhh sidhani kama wewe kweli ni kiongozi wa ngazi ya wilaya wa CCM. Naona kama watupiga changa la mawe vile!!!!!!
nitahakikisha unafukuzwa uanachamaMimi ni mwanachama wa C.C.M, na kiongozi ndani ya Chama katika ngazi ya Wilaya lakini kwa mara ya kwanza nalazimika kusema ukweli, Malalamiko ya viongozi wetu ngazi ya Taifa kuhusiana na maandamano ya CHDEMA yalenge katika ukweli, tujiulize hawa watu wanalaumu nini? na wanawaambia nini wananchi? kuna ukweli ndani yake? kama hakuna ukweli kwa yale wanayoyasema tuwashitaki haraka iwezekanavyo, nahisi kama hatuwatendei haki kusema wana dhamira ya kumwaga damu, so far sijaona kosa walilofanya na ndo maana hawajapelekwa mahakamani na wakapatikana na hatia hizo, unajua kwa haya malalamiko yetu inaonyesha hatutaki changamoto za kweli na hatupendi vyama vya upinzani viwe strong. Nadhani sisi kama chama tuwe wa kweli wananchi wamechoka na maisha duni yanayozidi kuwa makali kila kukicha nadhani umefika wakati sasa viongozi wetu kutekeleza ilani zetu kwa vitendo na tusifanye siasa katika hili, tukiri katika utawala huu mambo yamekuwa tofauti sana ukilinganisha na vipindi vilivyopita kwa mfano itakuwa ni busara sana tukitumia muda mwingi kujibu maswali yanayoulizwa kwa mifano hai ya utekelezaji wa tuliyo waahidi kuliko kulaumu tu na umefika wakati sasa tuwe na ahadi chache na zinazotekelezeka ni hatari kuahidi maisha bora kwa kila mtu ilihari hata nchi tajiri zinapata changamoto kubwa sana kufikia hiyo hatua, tunatakiwa tujipange vinginevyo watatushinda kwa hoja mbele ya wananchi.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
kwa niaba yangu binafsi napenda nikupongeze mwana ccm kwa kuonyesha umekomaa kweli kweli kisiasa uliyoyasema inaonesha kwanza umekwenda shule pili hufuati mkumbo.Mimi ni mwanachama wa C.C.M, na kiongozi ndani ya Chama katika ngazi ya Wilaya lakini kwa mara ya kwanza nalazimika kusema ukweli, Malalamiko ya viongozi wetu ngazi ya Taifa kuhusiana na maandamano ya CHDEMA yalenge katika ukweli, tujiulize hawa watu wanalaumu nini? na wanawaambia nini wananchi? kuna ukweli ndani yake? kama hakuna ukweli kwa yale wanayoyasema tuwashitaki haraka iwezekanavyo, nahisi kama hatuwatendei haki kusema wana dhamira ya kumwaga damu, so far sijaona kosa walilofanya na ndo maana hawajapelekwa mahakamani na wakapatikana na hatia hizo, unajua kwa haya malalamiko yetu inaonyesha hatutaki changamoto za kweli na hatupendi vyama vya upinzani viwe strong. Nadhani sisi kama chama tuwe wa kweli wananchi wamechoka na maisha duni yanayozidi kuwa makali kila kukicha nadhani umefika wakati sasa viongozi wetu kutekeleza ilani zetu kwa vitendo na tusifanye siasa katika hili, tukiri katika utawala huu mambo yamekuwa tofauti sana ukilinganisha na vipindi vilivyopita kwa mfano itakuwa ni busara sana tukitumia muda mwingi kujibu maswali yanayoulizwa kwa mifano hai ya utekelezaji wa tuliyo waahidi kuliko kulaumu tu na umefika wakati sasa tuwe na ahadi chache na zinazotekelezeka ni hatari kuahidi maisha bora kwa kila mtu ilihari hata nchi tajiri zinapata changamoto kubwa sana kufikia hiyo hatua, tunatakiwa tujipange vinginevyo watatushinda kwa hoja mbele ya wananchi.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
nitahakikisha unafukuzwa uanachama
HUTUFAI KABISA WEWE
wewe ni ccm damudam na huitakii mema CDM(UMMA) kwa nini usiwaache hao CCM Taifa waendelee hivyohivyo ili kukoleza chuki ya wanainchi dhidi ya serikali?Mkuu,
This sounds like a threat vile..
Jamani haya maandamano ya CDM na maneno yanayotolewa kwenye mikutano ni uchochezi ili wananchi waichukie Serikali. Uchaguzi umefanyika miezi mitatu tu iliyopita. Si msubiri basi kidogo muone kasi zaidi na ari zaidi itatoa matunda gani? Viongozi ndio kwanza wamechaguliwa (Mawaziri, wabunge n.k.). Si muwape muda basi muone watafanya nini? Kama kuna makosa ndani ya Chama na Serikali ni dhahiri yameshaonekana, kwani wao wajinga kuendelea na makosa hayo? Naamini wako katika harakati za kuyarekebisha makosa na kutafuta ufumbuzi wa kuleta mabadiliko na maendeleo kwa wananchi na kuondoa kero. Hii mikutano sioni kama inalenga kuleta maendeleo, ni kuleta uvunjaji wa amani tu. Mimi sio mwanasiasa na siko upande wowote, lakini naipenda nchi yangu na napenda Amani. Tusimuandame Rais wetu na Serikali yetu kwa mambo ambayo yako katika mchakato wa kutekelezwa. Mabomu, umeme, ukali wa maisha n.k. vinatakiwa kutafutiwa ufumbuzi, sio kuandamana na kutoa lawama tu.