C.c.m musoma vijijin 2015 haitapata kitu

C.c.m musoma vijijin 2015 haitapata kitu

TATOO

Senior Member
Joined
Jul 1, 2012
Posts
113
Reaction score
21
Moja ya vitu ambavyo watanzania wa kutoka hapa musoma vijijin wameapa kuvifanyia kazi ni kuhakikisha uchaguzi wa 2015 mkono na ccm yake hapati chochote...hivyo basi wananchi wote wa musoma vijijin tuwe wamoja kwa kuwatosa hawa mafisadi...

tuchague watu makini wasio na mambo yao binafsi...

Ahsante wana jamvi naomba kuwasilisha...............
 
Sehemu nyingi CCM huwa haishindi, ila upinzani unaposhinda ccm huwa hawana jinsi. Mjue kupiga kura na kuhakikisha hamtoi mwanya kwa waloshindwa kulazimisha ushindi.
 
Badilikeni enyi wana musoma!niko musoma kwa mambo binafsi km wiki mbili sasa,hali ya wananchi ni mbaya!tarime kule nyamongo the same!yaani nawaombeni basi mkubali mabadiliko!for real sense the situation is worse!nta'upload'picha za maisha ya watu wa musoma vijijini na kwingineko km nyamongo!natumia cm kwa sasa.
 
Musoma jiungeni na Rwanda ,niliwahi kusikia mlikuwa na mikakati ya kufanya hivyo ?
 
kama cdm ikiweka mgombea madhubuti mkono anaweza kushindwa kwani mara nyingi anapita bila kupingwa...binafsi japo ni mwana cdm lakini namkubali sana huyu jamaa kwani kwa tunaokaa pale musoma mjini kuna "za chini chini" zinadai MKONO alimsaidia VICENT NYERERE wa CDM kushinda ubunge japo yeye ni CCM na wana uadui wa kufa mtu na veda mathayo
 
Badilikeni enyi wana musoma!niko musoma kwa mambo binafsi km wiki mbili sasa,hali ya wananchi ni mbaya!tarime kule nyamongo the same!yaani nawaombeni basi mkubali mabadiliko!for real sense the situation is worse!nta'upload'picha za maisha ya watu wa musoma vijijini na kwingineko km nyamongo!natumia cm kwa sasa.
Nadhani wewe huwajui hata chembe watu wa Musoma, mkoa wa Mara ni mkoa wenye damu ya mageuzi siku nyingi na hilo jimbo analoliongoza Nimrod Mkono Mbunge alishawahi kuchaguliwa kutoka NCCR MAGEUZI anaitwa Paulo Ndobho.
Kama sikosei enzi za NCCR ya Mrema mkoa wa mara ulitoa wabunge wanne wa NCCR MAGEUZI. sasa unaposema wabadilike sijui watu wa Morogoro wanaochaguwa Wahindi sijui utawaelezeaje!!
 
Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Mleta Uzi amesahau kitu kimoja muhimu ambacho ni ccm inashindwa Tanzania nzima indicator ni m4c huko mtwara
 
Moja ya vitu ambavyo watanzania wa kutoka hapa musoma vijijin wameapa kuvifanyia kazi ni kuhakikisha uchaguzi wa 2015 mkono na ccm yake hapati chochote...hivyo basi wananchi wote wa musoma vijijin tuwe wamoja kwa kuwatosa hawa mafisadi...

tuchague watu makini wasio na mambo yao binafsi...

Ahsante wana jamvi naomba kuwasilisha...............

Vp kuhusu yule mgombea Ubunge wa CHADEMA aliyenunuliwa na Nimrod Mkono kwa US Dollars 2000 ndie mgombea?
 
Hiyo ndio kazi ya kwenu huko musoma, kwanza siasa mnaijua, nashangaa mnaipa CCM.
 
Nyinyi kweli muko kwenye Ndoto, au Mnamtafutia kula mjamaa mwingine. Mkono ni munge Imara na mwenye mapenzi na Constitution yake. This is a Very Rich Man, hahitaji POSHO ya Bunge, Leo mkimleta a New Man ataanza ABC, na atakuwa akiiuza Kura yake Bungeni kwa Wana CCM. Huoni Mkono wakati wa Petishion ya ZITTO Aliisaini bila Kujali. ?????? Becouse anapenda maendeleo na Usawa. " MKONO FOR MUSOMA VIJIJINI"
 
CCM itakuwa butchered maeneo karibu yote nchini 2015.
 
Vipi lile boga la bunda nalo litarudi 2015? Yaani silipendi hadi naumia
101007103802_macacofumante386.jpg
Nadhani litarudi zoo
 
CCM itakuwa butchered maeneo karibu yote nchini 2015.

Nimrod? hapana huyu mtu ni kichwa,tena hayumbushwi na CCM wala nani.
I wish jimboni kwangu tungekuwa na mbunge of this calibre.
siyo kama hawa akina Makinda,vita kawawa na John komba,ambao ni bora hayo majimbo yakose wawakilishi kuliko wao.
 
Back
Top Bottom