Byebye Kaushadamu

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
3,579
Reaction score
2,906

Watanzania ni kweli kuna mambo tunaweza tukabishana ila sio Upendo wa Rais Samia Suluhu Hassan Kwa Wakulima wa nchi hii,

Hebu fikiria Rais Samia ameongeza dhamana ya mikopo ya TZS 355.3bn kutoka TZS 63bn mwaka 2020 mpaka TZS 418.3bn mwaka 2024 kwa wakulima, sawa na ongezeko la 564%.

Hii mikopo imesaidia Wakulima wengi kuepa Mikopo ya Kausha damu iliyowaacha watupu baada ya Msimu wa kilimo najua hili wote mnafahamu
 
Tunatiki
 
Riba za mabenkii ni kubwaa mnoo,,,,unakopa 5M inalipa 10M???
 
Hapo kijijini kwenu ni wakulima wangapi wamefanikiwa kupata mikopo? Achana na kata kijijini kwenu tu


No reforms No Election
 
Unapotupa habari nzuri kama hii unatakiwa utupe na namna ya kupata hiyo mikopo ili wakulima tunufaike sasa.
 
Twende na Samia
 
Sawq
 
Mungu akubariki mama Samia, wanaokupinga wapigwe na pepo la ukichaa
 
Hii ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…