Byebye Kaushadamu

Byebye Kaushadamu

Kausha damu is there to stay acheni kujidanganya, tena kwa uchumi wa soko na ubepari ndio zitaongezeza sana zaidi na zaidi. Marekani kaushadamu zimejaa kila kona pamoja na liuchumi lake kubwa la kutosha itakua shitholeni?

Yani uchumi unavyokua ndio zinaongezeka zaidi
 
SIO SAWA LAKINI
 
SIO SAWA LAKINI

Ndio tabia ya uchumi wa kibepari/soko kiongozi, kama hamtaki urudishwe ujamaa ndio itakua tofauti

Maskini atamtumikia tajiri na mwenye nguvu milele tangu enzi za mitume na manabii ipo hivi!
 
NDIO ILIVYO HATA SASA
Na gap la walio nacho na wasionacho litendelea kuwa kubwa kila siku hamna mwanasiasa atafanya kitu zaidi ya kudanganya kundi la maskini kila siku apate naye mradi wake. Hujashangaa why Rostam karudishwa wazi tena?? Baada ya mascandal walimficha akafanya mambo yake kwenye background na sasa wanajua wabongo washasahau au waliokuwepo washazeeka so kaja upyaa!

Ndio tabia za matajiri na wenye fweza tutawatumikia tu na wanasiasa watalinda maslahi yao muda wote huku wanatupa makombo tushangilie
 
SIO KWELI
 
View attachment 3393313
Watanzania ni kweli kuna mambo tunaweza tukabishana ila sio Upendo wa Rais Samia Suluhu Hassan Kwa Wakulima wa nchi hii,

Hebu fikiria Rais Samia ameongeza dhamana ya mikopo ya TZS 355.3bn kutoka TZS 63bn mwaka 2020 mpaka TZS 418.3bn mwaka 2024 kwa wakulima, sawa na ongezeko la 564%.

Hii mikopo imesaidia Wakulima wengi kuepa Mikopo ya Kausha damu iliyowaacha watupu baada ya Msimu wa kilimo najua hili wote mnafahamu
kazi inafanyika
 
Buku 7 oyeeeee

Mambo 20 Chini ya Rais Samia​

  1. Diplomasia ya Uchumi – Amefungua Tanzania kwa dunia, kurejesha mahusiano mazuri ya kimataifa na kuvutia wawekezaji.
  2. Miradi ya Maji – Utekelezaji wa miradi mikubwa ya maji vijijini na mijini, kuhakikisha wananchi wanapata huduma safi na salama.
  3. Sekta ya Afya – Ujenzi na ukarabati wa hospitali, vituo vya afya na zahanati nchi nzima; kuongeza vifaa tiba na dawa.
  4. Sekta ya Elimu – Kuondoa ada kwa shule za sekondari hadi kidato cha sita na ujenzi wa shule mpya pamoja na mabweni.
  5. Barabara na Miundombinu – Ujenzi na ukarabati wa barabara kuu na za vijijini, madaraja na barabara za mchepuo mijini.
  6. Mradi wa Umeme Vijijini – Upanuzi mkubwa wa REA unaowafikia wananchi wengi zaidi vijijini.
  7. Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) – Kuendeleza mradi wa umeme wa megawati 2,115 kwa maendeleo ya taifa.
  8. Uboreshaji wa Shirika la Ndege (ATCL) – Kununua ndege mpya na kuongeza safari za kimataifa.
  9. Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) – Kuendeleza mradi wa reli ya umeme kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza.
  10. Uwekezaji katika Bandari – Kuboresha bandari za Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ili kuongeza biashara na mapato.
  11. Ajira kwa Vijana – Kupitia miradi ya kilimo (Building a Better Tomorrow – BBT) na sekta nyingine.
  12. Kilimo na Chakula – Kutoa ruzuku ya mbolea na pembejeo, kuanzisha Programu ya Kilimo cha Kibiashara.
  13. Mikopo ya Halmashauri 10% – Kuimarisha upatikanaji wa mikopo kwa vijana, wanawake na walemavu.
  14. Mapambano dhidi ya Ufisadi na Rushwa – Kuimarisha uwajibikaji na uwazi katika taasisi za umma.
  15. Sekta ya Madini – Kuboresha mikataba ya madini ili Tanzania inufaike zaidi.
  16. Michezo na Sanaa – Kuwezesha vijana kushiriki kimataifa na kuanzisha mfuko wa kuendeleza sanaa.
  17. Afya ya Mama na Mtoto – Kujenga vituo vya kisasa vya huduma ya dharura na kuongeza watoa huduma.
  18. Mfumo wa Kidigitali Serikalini – Kuongeza matumizi ya TEHAMA katika utoaji huduma.
  19. Utalii na Hifadhi za Taifa – Kutangaza Tanzania kimataifa kupitia filamu, promosheni na uwekezaji.
  20. Amani na Umoja wa Kitaifa – Kuimarisha mshikamano wa kijamii, kisiasa na kuendeleza majukwaa ya mazungumzo ya kitaifa.
 
Back
Top Bottom