mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,468 Reaction score 431,954 Jun 13, 2024 Thread starter #41 Kaka yake shetani said: kunywa chibuku Click to expand... Kweli Mara mia chibuku
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 23,281 Reaction score 28,441 Jun 13, 2024 #42 Atoto said: Ila walevi!!! Kwahiyo hapo shida ni ubora wa bia au logo? Click to expand... Kwa mwanamke ubora sura au....
Atoto said: Ila walevi!!! Kwahiyo hapo shida ni ubora wa bia au logo? Click to expand... Kwa mwanamke ubora sura au....
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,468 Reaction score 431,954 Jun 13, 2024 Thread starter #43 Mr mutuu said: Hii bia wajinga wameleta sticker ya kijinga sana, japo sio bia yangu ila siwezi kukaa na mtu anayekunywa hili Serengeti la njano Click to expand... Yaani logo mbaya
Mr mutuu said: Hii bia wajinga wameleta sticker ya kijinga sana, japo sio bia yangu ila siwezi kukaa na mtu anayekunywa hili Serengeti la njano Click to expand... Yaani logo mbaya
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,729 Reaction score 34,830 Jun 13, 2024 #44 Atoto said: Ila walevi!!! Kwahiyo hapo shida ni ubora wa bia au logo? Click to expand... Huyo sio mnywaji. Wanywaji huwa hatudeal na logo. Tunadeal na content/kilevi
Atoto said: Ila walevi!!! Kwahiyo hapo shida ni ubora wa bia au logo? Click to expand... Huyo sio mnywaji. Wanywaji huwa hatudeal na logo. Tunadeal na content/kilevi
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,468 Reaction score 431,954 Jun 13, 2024 Thread starter #45 Atoto said: Ila walevi!!! Kwahiyo hapo shida ni ubora wa bia au logo? Click to expand... Shida inaanzia kwenye logo mpka ubora wake ladha naona imebadilika Kabisa ukiongeza na logo la njano dah
Atoto said: Ila walevi!!! Kwahiyo hapo shida ni ubora wa bia au logo? Click to expand... Shida inaanzia kwenye logo mpka ubora wake ladha naona imebadilika Kabisa ukiongeza na logo la njano dah
Magulumelafulu JF-Expert Member Joined Jul 8, 2021 Posts 619 Reaction score 705 Jun 13, 2024 #46 wamezingua si padogo
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,468 Reaction score 431,954 Jun 13, 2024 Thread starter #47 Shin Lim said: Zile nyingine hata mkichafua meza ilikuwa inaonekana, sio uchafu huu. Click to expand... Yaani ukichafua Kwa rangi hii inaonekana Kama mkutano wa chama fulani hivi hata hamu ya kunywa inaisha
Shin Lim said: Zile nyingine hata mkichafua meza ilikuwa inaonekana, sio uchafu huu. Click to expand... Yaani ukichafua Kwa rangi hii inaonekana Kama mkutano wa chama fulani hivi hata hamu ya kunywa inaisha
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,468 Reaction score 431,954 Jun 13, 2024 Thread starter #48 tamuuuuu said: Zinatishaaaa! Click to expand... Sana
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,468 Reaction score 431,954 Jun 13, 2024 Thread starter #49 Mwami Ntale said: Kuna akina sisi hatutaki chochote chenye uhusiano na ccm, ikiwa ni pamoja na rangi, nyimbo, kadi, bidhaa n. K. Huyo jamaa yuko sahihi kabisa Click to expand... 100%
Mwami Ntale said: Kuna akina sisi hatutaki chochote chenye uhusiano na ccm, ikiwa ni pamoja na rangi, nyimbo, kadi, bidhaa n. K. Huyo jamaa yuko sahihi kabisa Click to expand... 100%
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,468 Reaction score 431,954 Jun 13, 2024 Thread starter #50 little master said: Unashabikia Simba nini?😁😁 Ila kimsingi halijakaa vizuri kabisaa Click to expand... Ishu sio Simba Wala Yanga shida logo mbaya sana na Hilo rangi lake hovyo kabisa amini ninachokuambia watapoteza sana mapato sijui nani aliwashauri hii
little master said: Unashabikia Simba nini?😁😁 Ila kimsingi halijakaa vizuri kabisaa Click to expand... Ishu sio Simba Wala Yanga shida logo mbaya sana na Hilo rangi lake hovyo kabisa amini ninachokuambia watapoteza sana mapato sijui nani aliwashauri hii
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 14,917 Reaction score 34,453 Jun 13, 2024 #51 Afu rangi ya njano ina wahisha usingizii dadeki
little master JF-Expert Member Joined Jul 16, 2018 Posts 2,098 Reaction score 3,990 Jun 13, 2024 #52 mzee wa liver said: Ishu sio Simba Wala Yanga shida logo mbaya sana na Hilo rangi lake hovyo kabisa amini ninachokuambia watapoteza sana mapato sijui nani aliwashauri hii Click to expand... Yah ni kweli kwasababu biashara vitu kama hivyo ni muhimu kuzingatiwa.
mzee wa liver said: Ishu sio Simba Wala Yanga shida logo mbaya sana na Hilo rangi lake hovyo kabisa amini ninachokuambia watapoteza sana mapato sijui nani aliwashauri hii Click to expand... Yah ni kweli kwasababu biashara vitu kama hivyo ni muhimu kuzingatiwa.