NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 309
Wewe ccm inakufaa
vyama vipo kibao wewe ndugu yangu tahrir square hadi UMP chaguo ni lakoORODHA YA VYAMA VYA SIASA TANZANIA
Source: List of political parties in Tanzania - Wikipedia, the free encyclopedia
- Chama Cha Mapinduzi (Revolutionary State Party)
- Civic United Front (Chama Cha Wananchi)
- Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Party for Democracy and Progress)
- Tanzania Labour Party
- United Democratic Party
- Chama cha Haki na Usitawi (CHAUSTA)
- Democratic Party (DP)
- Demokrasia Makini (MAKINI)
- Forum for the Restoration of Democracy (FORD)
- Hizb ut-Tahrir
- Jahazi Asilia
- National Convention for Construction and Reform-Mageuzi (NCCR-Mageuzi)
- National League for Democracy (NLD)
- National Reconstruction Alliance (NRA)
- Popular National Party (PONA)
- Sauti ya Umma (SAU)
- Tanzania Democratic Alliance (TADEA)
- Progressive Party of Tanzania-Maendeleo (PPT-Maendeleo)
- Union for Multiparty Democracy (UMD)
- United People's Democratic Party (UPDP)
Jamani mimi nimeamua kujivua gamba rasmi na si mwanachama wa Chadema tena hapa Arusha, bado sijaamua niingie chama gani ila nipo nipo kwanza nikiangalia chama muafaka. Magoma nitafute nikukabidhi kadi.
Nawatakia mafanikio mema katika mbio za sihasa.
Pipoz pawaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

nani kakwambia Chadema kuna watu wenye magamba? Labda hujui unatoka chama gani.
Chema chenye watu wenye magamba ni kimoja tu hapa Tanzania.
Naomba nikukumbushe tu, Kauli za mwenyekiti wa CHAMA ndio ukweli kuhusu Chama husika.
Hapa Tanzania ni chama kipi mwenyekiti amekiri kuna wenye magamba?
Jamani mimi nimeamua kujivua gamba rasmi na si mwanachama wa Chadema tena hapa Arusha, bado sijaamua niingie chama gani ila nipo nipo kwanza nikiangalia chama muafaka. Magoma nitafute nikukabidhi kadi.
Nawatakia mafanikio mema katika mbio za sihasa.
Pipoz pawaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
HATA NDOA NAONA INAKUSHINDA TARATIBU UTAANZA KUMUIBIA HUYO MR WAKO, KWA MWENDO HUU
CHECK MAMBO YAKO HAPO CHINI
NOT ENOUGH
Yesterday 04:31 PM #1
JF Senior Expert Member
Join Date : 8th December 2010
Posts : 279
Thanks
1
Thanked 22 Times in 15 Posts
Rep Power : 20
Sipendi tabia ya shemeji yangu
Huwa mara kadhaa tunatoka outing na Mr wangu na rafiki yake (shemeji), illa huyu shemeji anatabia ambayo hainipendezi na nimeshamwambia siipendi ila hakomi hata. Huwa tukikaa kwenye meza yeye ananikanyaga miguu kila wakati na jamaa akitoka kidogo analeta vidole vyake mpaka kwenye nanihiiiii. Naogopa kumsemea sasa nifanyeje?
Jamani mimi nimeamua kujivua gamba rasmi na si mwanachama wa Chadema tena hapa Arusha, bado sijaamua niingie chama gani ila nipo nipo kwanza nikiangalia chama muafaka. Magoma nitafute nikukabidhi kadi.
Nawatakia mafanikio mema katika mbio za sihasa.
Pipoz pawaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Jamani mimi nimeamua kujivua gamba rasmi na si mwanachama wa Chadema tena hapa Arusha, bado sijaamua niingie chama gani ila nipo nipo kwanza nikiangalia chama muafaka. Magoma nitafute nikukabidhi kadi.
Nawatakia mafanikio mema katika mbio za sihasa.
Pipoz pawaaaaaaaaaaaaaaaaaa.[/QU
Tuambie unamvuto wowote katika siasa? Kama basi mi na rafiki yangu makota tunaingia kuziba pengo. Kila akitoka mmoja wawili wanaingia
huyo ni drama cr@p tu, she is just an attention seekerHATA NDOA NAONA INAKUSHINDA TARATIBU UTAANZA KUMUIBIA HUYO MR WAKO, KWA MWENDO HUU