Waungwana salaam,
Bw Bwire Mugeta
Alikopa fedha jumla ya 470,000/= na alihaidi kulipa ndani ya siku saba lakini hadi leo hajafanya hivyo, huyu jamaa amekuwa sio mstarabu fedha hizi alikopa mkoani shinyanga 28/01/2010 akiwa kama mfanyakazi wa UNV-UNDP kama NUNV SPECIALIST.SASA kwa sababu ameamua kumwaga mboga nami nitafika ofisini kwao kuchukuwa hatua.kama anajuwa huko aliko nampa 7 day ani PM zikipita nitamtoa kwenye magazeti yote.
NB: nimefungua majarada Polisi Central Shy na central Dar
Zawadi nono kwa atakae fanikisha kukamatwa

Hizo pesa ni shilingi au dola? Kama jawabu ni shilingi, hiyo zawadi nono ni ipi? Vile vile ikiwa ni shilingi mbona ni hela mbuzi tu.
Ikumbilo congrats!!!!!!!! wambie hao wanaojifanya eti hela mbuzi
Hapo kwenye red.Kumbe unajua ofisini kwake?Sasa kwa nini hauendi kumwambia yeye hapo ofisini kwake unatwambie tumtafute sisi?Kama ungekuwa hauji ofisini kwake tungeweza kukusaidia lakini mtu unayejua mpaka ofisini kwake mmmm sikuelewi kabisaaa.AU UNAMWOGOPA ?Waungwana salaam,
Bw Bwire Mugeta
Alikopa fedha jumla ya 470,000/= na alihaidi kulipa ndani ya siku saba lakini hadi leo hajafanya hivyo, huyu jamaa amekuwa sio mstarabu fedha hizi alikopa mkoani shinyanga 28/01/2010 akiwa kama mfanyakazi wa UNV-UNDP kama NUNV SPECIALIST.SASA kwa sababu ameamua kumwaga mboga nami nitafika ofisini kwao kuchukuwa hatua.kama anajuwa huko aliko nampa 7 day ani PM zikipita nitamtoa kwenye magazeti yote.
NB: nimefungua majarada Polisi Central Shy na central Dar
Zawadi nono kwa atakae fanikisha kukamatwa
Hahaha! sasa arifu labda ana mwili kama wa kwenye avatar yako kumuingia kunahitaji taimingi au haujasikia mitaani mtu anafika mpaka kwa mtu anaacha maagizo eti 'mwambieni nilipita aniletee mzigo wangu' akiambiwa mbona yupo ndani tukuitie anasema 'hapana mwambieni tu' lol!Hapo kwenye red.Kumbe unajua ofisini kwake?Sasa kwa nini hauendi kumwambia yeye hapo ofisini kwake unatwambie tumtafute sisi?Kama ungekuwa hauji ofisini kwake tungeweza kukusaidia lakini mtu unayejua mpaka ofisini kwake mmmm sikuelewi kabisaaa.AU UNAMWOGOPA ?