Bwire Mugeta anatafutwa kwa wizi

mbeshere

Member
Nov 15, 2010
64
8
Waungwana salaam,
Bw Bwire Mugeta
Alikopa fedha jumla ya 470,000/= na alihaidi kulipa ndani ya siku saba lakini hadi leo hajafanya hivyo, huyu jamaa amekuwa sio mstarabu fedha hizi alikopa mkoani shinyanga 28/01/2010 akiwa kama mfanyakazi wa UNV-UNDP kama NUNV SPECIALIST.SASA kwa sababu ameamua kumwaga mboga nami nitafika ofisini kwao kuchukuwa hatua.kama anajuwa huko aliko nampa 7 day ani PM zikipita nitamtoa kwenye magazeti yote.
NB: nimefungua majarada Polisi Central Shy na central Dar

Zawadi nono kwa atakae fanikisha kukamatwa
 
Who is this guy by the way?

Yaani nimecheka Mbavu sina.
 
Nenda kwenye jukwaa la matangazo, hilo nalo ni tangazo.
 
Waungwana salaam,
Bw Bwire Mugeta
Alikopa fedha jumla ya 470,000/= na alihaidi kulipa ndani ya siku saba lakini hadi leo hajafanya hivyo, huyu jamaa amekuwa sio mstarabu fedha hizi alikopa mkoani shinyanga 28/01/2010 akiwa kama mfanyakazi wa UNV-UNDP kama NUNV SPECIALIST.SASA kwa sababu ameamua kumwaga mboga nami nitafika ofisini kwao kuchukuwa hatua.kama anajuwa huko aliko nampa 7 day ani PM zikipita nitamtoa kwenye magazeti yote.
NB: nimefungua majarada Polisi Central Shy na central Dar

Zawadi nono kwa atakae fanikisha kukamatwa

Hizo pesa ni shilingi au dola? Kama jawabu ni shilingi, hiyo zawadi nono ni ipi? Vile vile ikiwa ni shilingi mbona ni hela mbuzi tu.
 
Pesa ni pesa tu haijalishi ni kiasi gani. Ndio maana alienda kukopa, kama angekuwa nazo si yote haya yasingemkuta? Acheni kejeli, nadhani pia wapo wengine wanaokopa kisha wanasema majibu hayo hayo. Tuwe wastarabu kukumbuka mlango tulioingilia na sio kutoboa ukuta.
 
asante,manake na mie nilijiuliza anaposema zawadi nono anamaanisha nini?
ngoja nimtoe mtalaka hapa,manake namdai!
Hizo pesa ni shilingi au dola? Kama jawabu ni shilingi, hiyo zawadi nono ni ipi? Vile vile ikiwa ni shilingi mbona ni hela mbuzi tu.
 
Kwani alikopa kwa mkataba gani kwasababu unaweza ukawa unamzushia tu.Leta evidence isijekuwa katembea na mkeo/mumeo sasa unamtangaza vibaya humu.
 
Waungwana salaam,
Bw Bwire Mugeta
Alikopa fedha jumla ya 470,000/= na alihaidi kulipa ndani ya siku saba lakini hadi leo hajafanya hivyo, huyu jamaa amekuwa sio mstarabu fedha hizi alikopa mkoani shinyanga 28/01/2010 akiwa kama mfanyakazi wa UNV-UNDP kama NUNV SPECIALIST.SASA kwa sababu ameamua kumwaga mboga nami nitafika ofisini kwao kuchukuwa hatua.kama anajuwa huko aliko nampa 7 day ani PM zikipita nitamtoa kwenye magazeti yote.
NB: nimefungua majarada Polisi Central Shy na central Dar

Zawadi nono kwa atakae fanikisha kukamatwa
Hapo kwenye red.Kumbe unajua ofisini kwake?Sasa kwa nini hauendi kumwambia yeye hapo ofisini kwake unatwambie tumtafute sisi?Kama ungekuwa hauji ofisini kwake tungeweza kukusaidia lakini mtu unayejua mpaka ofisini kwake mmmm sikuelewi kabisaaa.AU UNAMWOGOPA ?
 
Nasikia Bwire huwa anatumia username ya Zumbukuku....Anyway, nikimwona nitafikisha salamu...ili nipate hiyo zawadi nono..
 
Hapo kwenye red.Kumbe unajua ofisini kwake?Sasa kwa nini hauendi kumwambia yeye hapo ofisini kwake unatwambie tumtafute sisi?Kama ungekuwa hauji ofisini kwake tungeweza kukusaidia lakini mtu unayejua mpaka ofisini kwake mmmm sikuelewi kabisaaa.AU UNAMWOGOPA ?
Hahaha! sasa arifu labda ana mwili kama wa kwenye avatar yako kumuingia kunahitaji taimingi au haujasikia mitaani mtu anafika mpaka kwa mtu anaacha maagizo eti 'mwambieni nilipita aniletee mzigo wangu' akiambiwa mbona yupo ndani tukuitie anasema 'hapana mwambieni tu' lol!
 
Kwe2 hilo jina ni dawa ya kienyeji ambayo m2 ujipaka wakati anasumbuliwa na mikosi.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom