DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Wakuu
Bwege anasema Nchi hii, ukitaka kupata taabu, kosoa wakubwa. Wanachotaka ni ujikombe kwao; jambo zuri uwapigie makofi, baya pigie makofi. Ameyasema hayo wakati kifanya mahojiano na Mwanahalisi Tv.
"Wanasema mkubwa hajambi, sisi wengine hatuamini tunaamini mkubwa anajamba na anapojamba harufu inatokea, kwahiyo nilivyojaribu sasa kuona kuna hitilafu na makosa nakuanza kusema basi viongozi wakubwa wamekasirika" Kada wa ACT- Wazalendo Seleman Bungara (Bwege).