GE2025 Bwege: Sitashiriki kampeni yoyote ya ACT hadi nitakapojua hatma ya Luhaga Mpina

GE2025 Bwege: Sitashiriki kampeni yoyote ya ACT hadi nitakapojua hatma ya Luhaga Mpina

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Wakuu

Bwege anazidi kutema nyogo, wakati kifanya mahojiano na Mwanahalisi amesema kutokana na uzembe uliofanyw ana chama chake na kupelekea Luhaga Mpina kuenguliwa kugombea Urais umemfanya achukue maamuzi ya kutoshiriki kampeni yoyote ya ACT Wazalendo popote pale hadi pale Mpina atakaporudishwa.

"Kitendo cha mimi kumkosa mgombea Urais, Mheshimiwa Luhaga Mpina kwa uzembe ambao tumefanya sisis ACT makao makuu umenirudisha nyuma na nimetengaza rasmi sishiriki chochote katika kampeni ya Kilwa au sehemu yoyote ya ACT Wazalendo mpaka nijue hatma ya Mh. Mpina. Akirudishwa na mahakama nitashiriki kwa nguvu zote kama asiporudishwa na mahakama sishirki chochote" - Selemani Bungala (Bwege)
 
Back
Top Bottom