Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Wakuu
Mzee Bwege katika mahojiano aliyofanyiwa hivi karibuni amekiri kuwa hakuna mpinzani wa kweli kwa sasa nchini anayetaka mabadiliko zaidi ya Lissu na ndiyo maana walijaribu kumuhona wakashindwa, wakataka kumuua wakashindwa kwa sasa wamemuweka ndani napo watishindwa.
Soma pia >> GE2025 - Bwege: Mpina alikosea kujiunga na chama chenye walakini, ACT kuna shida na uzembe
"Mpaka sasa hivi wapinzani wa kweli, watu wa kweli wanaotaka mabadiliko hakuna zaidi ya Lissu huyo mtu wa kwanza. Wamemuhonga wakashindwa, wakataka kumuua wakashindwa, wamemtia ndani sasa hivi wamempa kesi na watashindwa" - Selemani Bugangala (Bwege)