donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Karibu chiefMambo yangu hayo
Mi mwenyewe msukuma mkuuHahahahahaaa sisi wasukuma hapo tunaona zote n mboga hakuna cha kujaza tumbo nakula alaf nauliza chakula kipo wapi
Hivi vitu haviliki kabisa maisha ni magum.
Safi mkuu nlikua sijauonaUnaonaje vitu vizuri kama hivi ukituwekea hapa[emoji116] [emoji116]
Uzi wa vyakula tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi vitu haviliki kabisa maisha ni magum.
Huu ni uchochezi unawekaje hadharani ili hali unafahamu mitaani kulivyo?
Mkuu wwe ni Mpare?
Salad hamna mkuuHakuna hata salad au mboga ya majani?
TehMnatutumainisha wahenga wengine sisi hivyo vitu tulikula kwa mala ya mwisho kabla Jk Hajahama magogoni
Hayo mamboga ya majani waachieni mbuzi sasa,mwache kijana ajitafunie minyama lol!Hakuna hata salad au mboga ya majani?
Yanasaidia kwenye digestion pia ni nzuri kwa nwiliHayo mamboga ya majani waachieni mbuzi sasa,mwache kijana ajitafunie minyama lol!
Yaani mkuu umefanya asubuhi yangu mbaya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yes I know,but Leo amepata bahati ya 'minyama' so mwache tu apambane na hali yake!Yanasaidia kwenye digestion pia ni nzuri kwa nwili
Kuwa msukuma ni kama disability fulani hivi, sio kitu cha kujivunia mkuu.Hahahahahaaa sisi wasukuma hapo tunaona zote n mboga hakuna cha kujaza tumbo nakula alaf nauliza chakula kipo wapi