Mkuu watu8,hili bwawa lipo nchi gani mimi na shemeji yako tukaogelee!
watu8 karibu nikodi chopa hapa kuzunguka mitaa ya Babati na Ngorongoro kulitafuta aiseZiwa hilo ni alimaarufu kama "Heart shaped Lake" na linapatikana huko Gilgit–Baltistan nchini Pakistan