Bwana Yule haambiliki/Hashauriki

Usingizie wapiga dili,ukweli uko palepale hana pesa za kuendeshea nchi kutokana na mfumo mbovu aloweka. Hakuna nidhamu ya kazi ni uoga unaondoa ufanisi wa kazi,hiyo bei ya korosho aliitangaza yeye mwenyewe,lakini reality ni kuwa hakuna ongezeko lolote la bei ni juzi tu wakulima Lindi wamegoma kuuza korosho zao kutokana na bei kuwa ndogo. We vipi? Acheni kujipendekezapendekeza,muwe wa kweli. Sasa hivi lugha imekuwa eti wapiga dili ndiyo hawana hela,uongo mtupu,hicho ni kichaka cha kujifichia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…