ntemintale
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 956
- 1,878
Hivi tuko kwenye Austerity planning sio? Sasa zinakwenda wapi hizo zilizobanwa? Eti kaka mchambu..Hasikii la kuambiwa uchumi umeporomoka.
Ametujali sisi waathirika wa tetemeko na kutunyag'anya mahema tuliyopewa sasa tunajifunika migomba, Viva, amechukua hata hicho kidogo tulicholetewa eti kimejenga shule tena Omumwani tuliyoijenga kwa kahawa zetu sisi tangu miaka ile ili tusomeshe watoto wetu bila siasa, viva, nanyongonyea nikisema viva kwa sauti ya kuzimiaaaaa viva.Kupanga ni kuchagua na uongozi ni kuonyesha njia. Kila Jambo Lazima Liwe Na Mahala Pa Kuanzia. Tanzania Mpya Inakuja, Nenda TIC na BRELA ukaangalie idadi ya wawekezaji na makampuni yanavyo miminika. Hasira Zenu Za Kukosa Upigaji Dili Na Kutumbuliwa Ziacheni Huko Huko Makwenu Kwa Wenza Wenu. Msituharibie Rais Wetu Kipenzi Anayetujali Wanyonge. Amepandisha Bei Ya Korosho Na Pamba Haijawahi Kutokea. Amekuza Na Kuboresha Nidhamu Na Uwajibikaji Haijawi Kutokea. Viva Magufuli Viva!
Hapa kazi tuHahaha! Hasira Za Kutumbuliwa Hizi. Ulitaka Uendelee
Kufanya Semina Zisizo Na Tija?
Kufanya Safari Za Nje Zisizo Na Tija?
Kupata Mishahara Hewa?
Kukopa Kwenye Mabenki Halafu Urejeshe Fedha Za Umma?
Ww Uendelee Kutumia Cheti Fake Uachwe Tu?
Mbona Hamuelezi Rais Ameporomosha vp uchumi? kakukataza kufanya kazi? kakutaza kufanya biashara? kakupunguzia mshahara? amezuia upigaji! ulitaka awaache muendelee kupiga? ebo!!
Kupanga ni kuchagua na uongozi ni kuonyesha njia. Kila Jambo Lazima Liwe Na Mahala Pa Kuanzia. Tanzania Mpya Inakuja, Nenda TIC na BRELA ukaangalie idadi ya wawekezaji na makampuni yanavyo miminika. Hasira Zenu Za Kukosa Upigaji Dili Na Kutumbuliwa Ziacheni Huko Huko Makwenu Kwa Wenza Wenu. Msituharibie Rais Wetu Kipenzi Anayetujali Wanyonge. Amepandisha Bei Ya Korosho Na Pamba Haijawahi Kutokea. Amekuza Na Kuboresha Nidhamu Na Uwajibikaji Haijawi Kutokea. Viva Magufuli Viva!
Anapenda kusifiwa. Yeye ni Mr Misifa.Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa Bwana yule.
Alichukua fedha za umma katika mabenki nchini kule na kuzificha kwenye mashelfu Ya benki kuu ile. Matokeo yake uchumi umeyumba.
Alitamani jeshi la malaika lishuke kutoka mbinguni kule ili lizime mitandao ile ya kijamii.
Alipenda kusifiwa, kuogopwa na mitume wake kwa nyimbo, kauli, mipasho na misemo.
"mimi sijaribiwi" hii ndio kauli kutoka kwa Bwana yule iliyo waogopesha watu pinzani katika nchi ile.
Wawekezaji gani hao wanaodumaza Uchumi wa nchi. Idadi ya Wawekezaji wapiga dili mnaowapa mikataba ya miaka 100. Mmeishiwa pumzi. Mmechoka.Kupanga ni kuchagua na uongozi ni kuonyesha njia. Kila Jambo Lazima Liwe Na Mahala Pa Kuanzia. Tanzania Mpya Inakuja, Nenda TIC na BRELA ukaangalie idadi ya wawekezaji na makampuni yanavyo miminika. Hasira Zenu Za Kukosa Upigaji Dili Na Kutumbuliwa Ziacheni Huko Huko Makwenu Kwa Wenza Wenu. Msituharibie Rais Wetu Kipenzi Anayetujali Wanyonge. Amepandisha Bei Ya Korosho Na Pamba Haijawahi Kutokea. Amekuza Na Kuboresha Nidhamu Na Uwajibikaji Haijawi Kutokea. Viva Magufuli Viva!
Kweli wapiga dili wa nyumba za Umma, wanunuzi wa bombardier na meli Chakavu inayoozoea bahari ya Hindi. Wasingesalimika aisee.wapigaji wanatamani wangeoteshwa juu ya ujio wa bwana huyu. nahisi wangeuza na nchi yenyewe kupoteza ushaidi
Na bado wapo wanaotetea poromoko hili.Hasikii la kuambiwa uchumi umeporomoka.
Hao ni ambao hawana biashara ya aina yoyote vinginevyo wangeshaona athari zakeNa bado wapo wanaotetea poromoko hili.
wewe ropoka tu la hali ni mbaya sana hakuna mzungukowa fedhaHahaha! Hasira Za Kutumbuliwa Hizi. Ulitaka Uendelee
Kufanya Semina Zisizo Na Tija?
Kufanya Safari Za Nje Zisizo Na Tija?
Kupata Mishahara Hewa?
Kukopa Kwenye Mabenki Halafu Urejeshe Fedha Za Umma?
Ww Uendelee Kutumia Cheti Fake Uachwe Tu?
Mbona Hamuelezi Rais Ameporomosha vp uchumi? kakukataza kufanya kazi? kakutaza kufanya biashara? kakupunguzia mshahara? amezuia upigaji! ulitaka awaache muendelee kupiga? ebo!!