Bwana shamba

kasopa

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
302
56
Wakuu natanguliza heshima kwenu na poleni na shughuli za kila siku ndukuzangu nahitaji bwana shamba atakae simamia shamba langu kila inapohitajika kufika inategea na makubaliano nategemea kulima mpunga tarehe 15 mwezihuu mwenye utalam wauhakika Email yangu seydhamood@yahoo.com
 
Wandugu inamaana Mor yote na vitongoji vyake hakuna mabwanashamba basi injihii tumekwisha
 
Back
Top Bottom