Bwana Shamba anahitajika

Bwana Shamba anahitajika

LGF

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2020
Posts
1,406
Reaction score
791
Tunatafuta Bwana Shamba awe na uzoefu wa kusimamia shamba ikiwamo kilimo, ufugaji, misitu na asali.

Shamba la eka 89 jirani na Ruvu Ranch ya NARCO awe na uzoefu wa irrigation.

Piga simu 0622303759 kutembelea

20201119_100600.jpg
 
Rate ya mshahara wako nikutafutie mtu mwenye skills zote hapo juu

Ila shallow kdg kwenye nyuki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom