Nilikuwa nikiishi na mwanamke kwa kipindi cha miaka miwili. Nilibahatika kupata naye mtoto. Tulikuwa hatujafunga ndoa.
Mtoto alipofikisha miaka miwili nilipata skolaship ya kwenda kusoma ughaibuni.
Masomo yalinigharimu muda wa miaka minne, niliporudi nyumbani nikakuta mwenzangu kisha olewa. Na huko alikoolewa ameenda na mwanangu.
Nimefanya kila jitihada za kumchukua imeshindikana, mume mwenza anadai mtoto ni wa kwake.
Naombeni msaada wa mawazo yenu waungwana