Nicholaus Kilunga
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 1,188
- 570
BVR yaingia rasmi mkoa wa Kigoma na Kagera,zoezi kuanza rasmi 21/5/2015
Hivi unajua kuchagua na kuchaguliwa ni haki yako ya msingi?na kwamba maendeleo bora yako wewe,jamii.yako na taifa kwa ujumla yanategemea uamuzi wako katika kuchagua?amka acha uvivu wa kwenda kituoni,acha kujifanya bize mpaka ukose mda wa kujiandikisha ama kusimama kwenye foleni ya kujiandikisha,Tz ni yetu sote,acha ubinafsi wa kujifikiria wewe na kizazi cha leo,vpi kuhusu kesho?zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la kudumu kwa mikoa ya Kigoma na Kagera litaanza rasmi 21/5/2015,jitokeze wewe na jamaa zako mkajiandikishe,wahi mapema sana,Kupanga ni kuchagua mtanzania,panga kujiandikisha,chagua kupiga kura,
Sambaza ujumbe huu sambaza upendo