vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 420
Ktk pitapita zangu nikaona sio vibaya kubadilisha mazingira nikaamua niingie ukumbi wa buzuruga plaza kwakua kulikuwa na mziki na mabango takitangaza kuna event kubwa lkn cha ajabu mambo ni hovyo hovyo na kiingilio buku 7 hakuna kinachoendelea