Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,006
- 7,340
Huyo Buyobe ndiye nani, ungetoa muhtasari kidogo.Hakuna kosa ambalo kikundi cha utekaji cha Mafwele kitajiutia kama kunipeleka kwenye ngome yao, kujionea unyama wao, bila kuficha nyuso zao, chini ya usimamizi wa Mafwele mwenyewe aliyekuwa akinipa ahadi za kutoiona tena kesho.
Msela asili yake noma ila kwenye noma msela hakaiView attachment 3543115
More details please, kama iko nusu mkate vile.Hakuna kosa ambalo kikundi cha utekaji cha Mafwele kitajiutia kama kunipeleka kwenye ngome yao, kujionea unyama wao, bila kuficha nyuso zao, chini ya usimamizi wa Mafwele mwenyewe aliyekuwa akinipa ahadi za kutoiona tena kesho.
Msela asili yake noma ila kwenye noma msela hakaiView attachment 3543115
mkuu hiyo thinking uliyo nayo ipo sahihi kabisa, ni kama watu wanaopewa kazi hii nchi ziwe kazi halali au haramu wote wanakua hawana uwezo nazo.Hivi kwanza buyobe yupo nchini? Mafwele naye ni kama kibaka tu, hizo kazi za utekaji na uuaji zipo kila nchi, ila ni very professional, huwezi kuta kiongozi wa hilo genge anajulikana hadu na watoto wadogo mitaani, hii nchi mambo yake yanaenda unprofessional, eti jasusi anaenda kuteka wavuta bangi,halafu yeye mwenyewe anaenda kuwa interrogate, mara eti mafwele anamuambia mateka wake Agatha atuahire atampa mimba, fakin kabisa hii nchi
Kampeni tu dhidi ya mafweleHivi kwanza buyobe yupo nchini? Mafwele naye ni kama kibaka tu, hizo kazi za utekaji na uuaji zipo kila nchi, ila ni very professional, huwezi kuta kiongozi wa hilo genge anajulikana hadu na watoto wadogo mitaani, hii nchi mambo yake yanaenda unprofessional, eti jasusi anaenda kuteka wavuta bangi,halafu yeye mwenyewe anaenda kuwa interrogate, mara eti mafwele anamuambia mateka wake Agatha atuahire atampa mimba, fakin kabisa hii nchi
Ukiiba kura na kujichagua na kuua watu kisa madaraka inatakiwa ubakwe na utiwe rungu la mnduku madafakaUkichochea uhalifu huna haki ya kuendelea kuwa hai inatakiwa upigwe risasi kama mlivyopigwa Oct 29
Oct 29 kuna ccm kindakindaki walikula chuma.Ukichochea uhalifu huna haki ya kuendelea kuwa hai inatakiwa upigwe risasi kama mlivyopigwa Oct 29
Haina shida katika operation ya kuua wale nyumbu wahalifu wa October 29 wako na watu wema waliuwawa kimakosa hilo linajulikana ilimradi nyumbu wahalifu walikufa wengi zaidi hilo linatosha, amani ya nchi hii italindwa kwa gharama yoyote , sahivi nyumbu mmeshika adabu mmebaki kuimba taarabu mitandaoniOct 29 kuna ccm kindakindaki walikula chuma.
Wengine walitoka kupiga kura tena wakimchagua huyo huyo lakini walikula chuma.
Haya mambo sio ya kuyafurahia saaana.
Kwa maana huwezi jua siku wala saa, mvua hata wewe inaweza ikakunyeshea na maisha yao yakaendelea kama kawaida.
Kila anaetekwa/ kamatwa lazima jamaa ajionyeshe mbele yake na kumpiga mikwalaHivi kwanza buyobe yupo nchini? Mafwele naye ni kama kibaka tu, hizo kazi za utekaji na uuaji zipo kila nchi, ila ni very professional, huwezi kuta kiongozi wa hilo genge anajulikana hadu na watoto wadogo mitaani, hii nchi mambo yake yanaenda unprofessional, eti jasusi anaenda kuteka wavuta bangi,halafu yeye mwenyewe anaenda kuwa interrogate, mara eti mafwele anamuambia mateka wake Agatha atuahire atampa mimba, fakin kabisa hii nchi
Kwani walikua wanalinda amani au wanalinda wizi wa kura waliofanyaHaina shida katika operation ya kuua wale nyumbu wahalifu wa October 29 wako na watu wema waliuwawa kimakosa hilo linajulikana ilimradi nyumbu wahalifu walikufa wengi zaidi hilo linatosha, amani ya nchi hii italindwa kwa gharama yoyote , sahivi nyumbu mmeshika adabu mmebaki kuimba taarabu mitandaoni