Una iPHONE ya zamani ? (3g au 2g).. na kama huitumii.. Niuziye !
Ill buy it , if its working or with any major/minor fault to be mentioned before selling...
Umejifunzia wapi kuweka bei za namna hii?
Hata ile Starlet na Corolla umeziweka kwa style hii,
Anyway, hua zinavutia kiasi.
Vip hiyo Iphone naweza kuipatazv
Kama sio kimeo tuwasiliane
Umejifunzia wapi kuweka bei za namna hii?
Hata ile Starlet na Corolla umeziweka kwa style hii,
Anyway, hua zinavutia kiasi.
Vip hiyo Iphone naweza kuipatazv
Kama sio kimeo tuwasiliane
Hahahaa, ila hapo amesahau kutamka: "bei haipungui hata senti"! kwa hiyo unampa elfu kumikumi zipatazo 29,buk tano 1, buk mbili 2, na jero 1 TASLIM! Hahahaa!