technically JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 13,647 Reaction score 58,447 Apr 6, 2020 #1 Club ya Beyern Munich ya Ujerumani imeanza mazoezi yake kule Ujerumani baada ya kukaa mwezi mzima hii inaleta matumain kwamba ligi zinaweza kuanza kulejea mwishoni mwa mezi huu.
Club ya Beyern Munich ya Ujerumani imeanza mazoezi yake kule Ujerumani baada ya kukaa mwezi mzima hii inaleta matumain kwamba ligi zinaweza kuanza kulejea mwishoni mwa mezi huu.
mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,337 Reaction score 12,469 Apr 6, 2020 #2 Hawaamini kuwa ligi unafutwa?
carcinoma JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 5,059 Reaction score 13,849 Apr 6, 2020 #3 Chelsea wakiona hii post wanapanic